Verse – 2
Utamu kolea aprokoto
Ting’ari ting’ari ndani kwa moto
Nitamnyongea msokoto
Niteme sumu kali kama koboko
Eeeh Mapenzi yananipa shida
Shida maama ni donda lisilokuwa na tiba
Tiba bwana usije baby kanicharanga
Kanichambua moyo kama karanga
Mie baby kwenye msambwanda, huwa siendagi
ngenge ni nganganga.
Share this page with your family and friends.